Kodi ya Mashine Nzito (Plant & Equipment Hire)

Inatolewa na Effco Solutions (T) Limited
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Kodi ya Mashine Nzito (Plant & Equipment Hire)

Inatolewa na Effco Solutions (T) Limited

Effco inakodisha mashine za ujenzi kama excavators, bulldozers, graders, compactors, crane (25–550 tonnes), forklifts (3–16 tonnes), trucks (ikiwa ni pamoja na hiab cranes), kwa malipo ya muda mfupi au mrefu, kulingana na mahitaji ya mteja

Sign In