Mashati ya Kiume na Kike
Mashati ya kitenge au batiki kwa hafla rasmi au mitoko ya kawaida.
Blauzi za Kisasa
Blauzi nzuri kwa wanawake zinazofaa kwa kazi, sherehe, au mitoko ya kawaida.
Maguni ya Batiki na Kitenge
Gauni ndefu na fupi kwa wanawake, zenye ubunifu wa kipekee na za kuvutia.
Kaptula za Kiume na Kike
Kaptula za kisasa zenye muonekano wa Kiafrika, kwa mapumziko au matumizi ya kawaida.
Sketi za Kitenge
Sketi ndefu au fupi kwa matumizi ya kila siku au hafla maalum.
Mitindo Maalum kwa Hafla
Wanaandaa mavazi ya sherehe kama harusi, send-off, kitchen party, na nguo za maeneo tofauti tofauti
Kutengeneza Mavazi ya Kiafrika kwa Oda Maalum
Rineez Wanashona mavazi kulingana na vipimo na mahitaji ya mteja, yakilingana na tukio au mtindo mtu anavyotaka
Ubunifu wa Mitindo na Ushauri wa Mavazi
Rineez Wanatoa ushauri kwa wateja kuhusu mavazi yanayowafaa kwa muonekano wa kipekee na kisasa kulingana na namna mtu alivyo
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoRineez Arts and Fashion-African Outfits
Rineez Arts and Fashion ni kituo cha ubunifu wa mavazi kinachojikita katika kutengeneza, kubuni na kuuza mavazi ya Kiafrika (African Outfits) yanayovutia na kwenda na wakati.
Tovuti
www.rineezarts.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 712785277