MFUKO WA AFRICAN PRINT (KITENGE)
Inatolewa na Rineez Arts and Fashion-African Outfits
MFUKO WA AFRICAN PRINT (KITENGE)/Mkoba wa vipodozi/Mkoba Ndogo/Mkoba wa Penseli/Mkoba wa Multipurpose/Mkoba wa nguo/mfuko wa kompyuta ndogo Bei: Tshs. 40,000 Ukubwa: Kubwa Mfukoni: Ndani au mbele au nyuma Tunatuma - Kwa gharama ya Mteja (MIKOBA YETU HAIPITISHI MAJI 80% HATA UKINYESHEWA NA MVUA/UNAWEZA KUFUA KWA MAJI NA SABUNI NA IMARA SANA.