Dolls Beauty Store and Saloon-Urembo
Dolls Beauty Store & Spa ni kampuni ya urembo inayojitolea kutoa suluhu za matatizo mbalimbali ya urembo katika maeneo kama vile ngozi, nywele, kucha n.k. Sisi ndio kampuni pekee inayotoa huduma za kutunza ngozi, kutunza nywele, kucha, vipodozi na SPA zote. Kwa Huduma Nzuri za Saloon ya Kike kama Kusuka nywele Styles zote,Kuosha na Kuset,Kuweka Dawa na Steaming,Pedicure and Manicure,Makeup kwa Maharusi na kawaida..n.k Tunapokea wanafunzi wanaotaka kujifunza Urembo/Makeup,Tunauza Vifaa vyote vya kufanyia Makeup Karibuni Dolls Beauty Store Evelnb Evelnb Makeup Studio and Saloon Iliyopo Kinyerezi Mwisho Mtaa wa Kibaga(Babylon) Wasiliana nasi kwa namba 0659148507. Follow Evelnb.
Tovuti
https://www.dollsbeautystore.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 659148507