Kuchubua Uso/Dermaplane
Inatolewa na Dolls Beauty Store and Saloon-Urembo
Bidhaa zetu zimebinafsishwa kikamilifu na zimesawazishwa vyema kwa rika zote za wateja au watu wazima. Tunadumisha viwango na lorem ipsum na kuthibitishwa na dolor set amet. 1 hour treatment usoni,kuondolewa kwa seli za ngozi zilizokufa zaidi,kuondoa vinyweleo usoni na kunyoosha ngozi. Lengo ni kurahisisha upenyajii wa bidhaa zako za skincare Kufanya ngozi kuonekana safi ,softy to touch na smooth Inasaidia njia mikunjo usoni,reduce acne formation,kung’arisha ngozi nyororo Ngozi huonekana yenye kung’aa na safi mara moja baada ya procedure hii Ni msingi wa matibabu ya uso zingine Inafanyika mara moja kwa mwezi Haifanywi kwa wenye chunusi active.