Urembo

J&R Mtita UniSex Saloon

0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

J&R Mtita UniSex Saloon

JR Mtita Unisex ni saluni ya kisasa inayotoa huduma zote muhimu kwa wateja wa jinsia zote. Kwa wanaume, huduma ni pamoja na kunyoa mitindo yote ya kisasa, facial ya ngozi, steaming, massage ya kichwa na usafishaji wa ndevu. Kwa wanawake, huduma ni pamoja na kusuka mitindo mbalimbali, weaving, kupaka rangi ya nywele, kuosha na kuseti, steaming, pedicure na manicure.

Tovuti
https://www.instagram.com/officialjrmtita_unisex salon and Berbershop

Barua pepe
[email protected]

Simu
+255 745884112

Sign In