Huduma kwa Saluni za Kike na Kiume

Inatolewa na J&R Mtita UniSex Saloon
Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star 0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma kwa Saluni za Kike na Kiume

Inatolewa na J&R Mtita UniSex Saloon

Official Jr Mtita Unisex ni saluni ya kisasa inayotoa huduma zote muhimu kwa wateja wa jinsia zote. Kwa wanaume, huduma ni pamoja na kunyoa mitindo yote ya kisasa, facial ya ngozi, steaming, massage ya kichwa na usafishaji wa ndevu. Kwa wanawake, huduma ni pamoja na kusuka mitindo mbalimbali, weaving, kupaka rangi ya nywele, kuosha na kuseti, steaming, pedicure na manicure.

Do you think there's a problem with this review?

You can use this reporting if you're a consumer

Want to report this review?

Please choose a reason

Birthday:

Login Info: