Mabegi ya Kawaida (Everyday Bags)
Haya ni mabegi ya mikononi ya matumizi ya kila siku – kama kwenda kazini, sokoni au mjini.
Mabegi ya Safari (Travel Bags)
Mabegi makubwa yanayofaa kwa kusafiria – kama duffel bags, trolley bags na travel backpacks. Yana nafasi kubwa, yana nguvu, na ni rahisi kubeba.
Mabegi ya Hafla (Event & Party Bags)
Ni mabegi madogo ya kifahari kama clutch bags na evening handbags yanayofaa kwa sherehe au matukio mbalimbali.
Backpacks
Wanauza mabegi ya mgongoni yenye nafasi kubwa na muundo mzuri kwa wanafunzi, wasafiri, na watumiaji wa kila siku
Crossbody Bags
Haya ni mabegi ya begani yanayofaa kwa matembezi au matumizi ya kawaida. Yana ukubwa wa wastani na hutoa urahisi wa kubeba vitu
Mikoba Midogo (Purses & Wallets)
Fay Fashion pia wanauza mikoba ya mkononi na wallets ya wanawake na wanaume. Mikoba hii ni ya kisasa, ya ngozi au vitambaa imara, na husaidia kubeba pesa, kadi, na vitu vidogo
Huduma kwa Wateja wa Mikoani
Wanatuma bidhaa kwa wateja waliopo mikoa mbalimbali kwa uharaka na usalama.
Ushauri Kwa Mteja
Wanashauri wateja kuchagua begi au mkoba unaoendana na tukio au mavazi.
Kua wa kwanza Kutoa Maoni Yako
Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu biashara hii
Andika Maoni YakoFay Fashion Tz
Fay Fashion ni duka maarufu linalotoa mabegi na mikoba ya aina mbalimbali kwa wanawake na wanaume, wakubwa kwa wadogo
Tovuti
https://fayfashion.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 747658738