Mabegi ya mkononi ya Ngozi
Inatolewa na Fay fashiontz
"Fay Fashion Samora, ni chumba rasmi cha maonyesho cha Fay Fashion Tanzania, wataalam wa Bidhaa za Ngozi za Handmade Bespoke (Custom-made) hususani Executive Leather Bags, Handbag, Wallets, Belts, n.k. Unaweza kufanya oda za kibinafsi au za Biashara na tutakutengenezea. Sisi ni mmoja wa wasambazaji bora wa ngozi safi wanaoaminika mjini."