Rating
Tags
Distance
Radius around selected destination km

Coco Beach/Fukwe
Hata kama ukiwa hulijui jiji la Dar es Salaam bila shaka umesikia kuhusu Coco Beach na sifa za mazingira mazuri yaliyopo kwenye eneo hili pamoja na chakula maarufu cha mihogo iliyochomwa au kukaangwa kwa ustadi ambayo mara nyingi huliwa kwa mishika...

Ununio Beach Park/Fukwe
Fukwe hii inapatikana Ununio, jijini Dar Es Salaam mita chache kutoka kituo cha daladala cha Ununio Sifa kuu ya fukwe hii ni mazingira masafi kwenye maeneo mengi ya wazi yanayotumiwa kwa kupumzika, burudani na michezo mbalimbali kama mpira na bem...
Makampuni Bora Yanayoongoza