Vyumba vya Malazi
Inatolewa na Serena Hotel
Serena Hotel hutoa vyumba vya kisasa vilivyo na mazingira ya amani na starehe. Vyumba hivi vina vifaa kama televisheni, intaneti ya kasi (Wi-Fi), kiyoyozi (AC), sehemu ya kufanyia kazi, bafu za kisasa, huduma ya chumba masaa 24 lakini unaweza kukodi kulingana na mahitaji yako na siku unazotaka.