Serena Hotel
Serena Hotel ni hoteli ya kifahari inayopatikana katika Tanzania, Katika jiji la Dar es Salaam. Hoteli hii ni sehemu ya mtandao wa kimataifa wa Serena Hotels, unaojulikana kwa kutoa huduma bora za malazi, mikutano, na mapumziko ya kifahari.
Tovuti
https://www.serenahotels.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222212500