laptop promotion device
Inatolewa na National Benki of Commerce (Tanzania) NBC-Benki
Jishindie laptop 💻 mpyaaa ya kuendeleza mishe zako mwaka 2025. Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kufanya miamala kwa kutumia NBC VISA Debit Card unapolipia bidhaa au huduma mtandaoni, unapotoa pesa kwenye ATM au kulipa kwenye POS Machine yoyote.