Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu Huduma Hii
Benki inatoa akaunti kwa biashara ndogo (Micro Business Account), pamoja na akaunti za biashara za kati na taasisi. Akaunti hizi hutumiwa kufanya miamala ya kila siku ya kibiashara.
Tufuatilie hapa
Chagua Toleo la Kusoma: