Akiba Commercial Benki
Benki ya Biashara ya Akiba ni benki ya biashara iliyopo Tanzania. BENKI YA AKIBA IMEZINDUA RASMI KADI YA VISA. ACB VISA CARD inatumika kufanya manunuzi na malipo sehemu mbalimbali ulimwenguni. hii imepatiwa leseni na Benki kuu ya Tanzania iliyo na mamlaka ya kuthibiti shughuli za kibenki Tanzania. Tunapenda kukutaarifu kuwa unaweza kuokoa muda na gharama kwa kupata huduma za benki yetu kupitia Acb benki Wakala aliye Mtaani kwako. .................................................................
Tovuti
https://www.acbbank.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 746811510