NMB Master Card
Inatolewa na NMB Benki
NMB MasterCard ni kadi mpya ya benki ya NMB itakayomwezesha mteja kupata fedha zake wakati wowote na mahali popote duniani penye nembo ya MasterCard. Unaweza pia kutumia kadi yako kufanya manunuzi ya bidhaa na kulipia huduma popote penye nembo ya MasterCard. Kadi kwa matumizi binafsi Usalama kwa manunuzi ndani na nje ya mtandao kupitia teknolojia ya Mastercard secure code, Chip na PIN Inakubalika kimataifa Huduma ya NMB Mobile Uwezeshaji wa direct funds receipt kupitia huduma ya kutuma fedha ya MasterCard Upatikanaji wa punguzo na Ofa maalum kupitia program ya MasterCard PRICELESS Kupata kadi ya NMB MasterCard tembelea tawi letu lililo karibu yako