NMB Benki
NMB (National Microfinance Bank) ni benki ya biashara inayomilikiwa kwa pamoja na serikali ya Tanzania pamoja na wawekezaji binafsi. Ilianzishwa rasmi mwaka 1997 baada ya kugawanywa kwa iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC). Makao makuu yake yapo jijini Dar es Salaam, na ina matawi mengi yaliyosambaa nchini kote
Tovuti
https://www.nmbbank.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222322000