Vifaa Vya Michezo ya Watoto

Inatolewa na Fun retreat resort
Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star 0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Vifaa Vya Michezo ya Watoto

Inatolewa na Fun retreat resort

Vifaa vya michezo ya watoto vilivyopo Fun Retreat ni pamoja na sehemu mbalimbali za kuwaburudisha watoto wa rika tofauti. Kuna magari ya kuchezea yanayotumia umeme, uwanja wa watoto (children park) wenye mizunguko, bembea, na slaidi. Pia kuna michezo ya ndani kama arcade games ambayo huwapa watoto burudani . Vifaa hivi vimeandaliwa kwa kuzingatia usalama na starehe ya watoto.

Do you think there's a problem with this review?

You can use this reporting if you're a consumer

Want to report this review?

Please choose a reason

Birthday:

Login Info: