NBC Mobile App
Inatolewa na National Benki of Commerce ( NBC )
Ni bidhaa ya kidigitali inayomuwezesha mteja kufanya miamala yote muhimu kupitia simu janja. Kupitia app hii, wateja wanaweza kufanya malipo ya haraka, kutuma fedha, kufuatilia akaunti, na kuomba huduma nyingine za benki.