Chati na Jirani

Inatolewa na NMB Benki
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Chati na Jirani

Inatolewa na NMB Benki

Jirani, ni mtoa huduma wa kidijitali kutoka Benki ya NMB. Unaweza kuchat naye muda wowote, mpige stori kuhusu huduma na bidhaa zetu, kukupa taarifa za fedha za kigeni, kukusaidia kufanya miamala ya kukata bima au kununua LUKU, kukuelekeza matawi, ATM au Wakala wetu , kukupatia taarifa za akaunti yako na kukuanganisha na kituo chetu cha huduma kwa Wateja.

Sign In