Huduma ya Mikopo kwa Wateja Binafsi
Inatolewa na National Benki of Commerce ( NBC )
Benki inatoa mikopo kwa watu binafsi kwa madhumuni kama matumizi ya nyumbani, elimu, kununua magari, au ujenzi wa nyumba. Mikopo hutolewa kwa watumishi wa umma, wafanyakazi wa sekta binafsi, na wajasiriamali waliothibitishwa.