Mikopo kwa Biashara Ndogo na Wajasiliamali
Inatolewa na Akiba Commercial Benki
ACB inatoa mikopo kwa biashara ndogo na wajasiriamali wa kati ili kusaidia kuongeza mtaji au kuendeleza shughuli za biashara. Hii ni mojawapo ya maeneo ambayo benki imejikita sana, ikilenga wateja wa kipato cha kati na cha chini.