Huduma kwa Wateja Masaa 24

Inatolewa na Serena Hotel
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma kwa Wateja Masaa 24

Inatolewa na Serena Hotel

Serena hutoa huduma kwa wateja saa 24 ikiwa ni pamoja na mapokezi, concierge kwa usaidizi wa safari, booking, kubadilisha fedha, usafiri wa kupeleka na kuchukua wageni, na huduma nyingine binafsi.

Sign In