Free Internet (WI-FI )
Inatolewa na Fun retreat resort
Unapokuwa Fun Retreat Moshono, Arusha, unaweza kufurahia huduma ya intaneti ya bure (Free WiFi) bila kikomo. Huduma hii inakuwezesha kuendelea kuwasiliana na wapendwa wako, kushiriki picha na matukio ya furaha, pamoja na kufurahia huduma za mtandaoni ukiwa ndani ya eneo la Fun Retreat.