Huduma Ya Uwakala

Inatolewa na NMB Benki
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma Ya Uwakala

Inatolewa na NMB Benki

Pata huduma katika matawi yetu mbalimbali nchini ya kutumia Nmb mkononi,Nmb Direct,Atm na POS. Kudaka fursa hii kabambe ya kufanya kazi na NMB Bank kama wakala wetu, unatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo: Unatakiwa kuwa na biashara endelevu na imara, au shughuli yoyote halali na yenye leseni hai Unatakiwa kua na Biashara inayoendeshwa kwenye sehemu ya kudumu na rasilimali watu ili kuhakikisha unatoa huduma kwa ufanisi na usalama Biashara inatakiwa kuwa inafanya kazi kwa angalau miezi 18 kama itakavyothibitishwa na leseni zilizopita na/au nyaraka nyingine za usajili, kabla ya tarehe ya maombi ya kuwa wakala. Biashara au Mmiliki hatatakiwa kuwa ameorodheshwa kama mdeni asiyelipa kwenye benki yoyote na/au taasisi ya kifedha na atatakiwa kuzingatia hilo katika muda wote wa mkataba ya uwakala.

Sign In