NBC Wakala
Inatolewa na National Benki of Commerce (Tanzania) NBC-Benki
Tunaendelea kukuza mtandao wetu wa NBC Wakala nchini. Kwa mawakala wetu waliotapakaa nchi nzima utaweza kufanya yafauatayo: ✅kutoa, kuweka na kutuma fedha ✅kuangalia salio la akaunti yako ✅kufungua akaunti ✅kulipia bili mbali mbali ✅kulipa tozo mbali mbali za Serikali ✅kuangalia taarifa fupi.