Nyumba au Chumba Cha Kupumzika (Resting Room)

Inatolewa na Fun retreat resort
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Nyumba au Chumba Cha Kupumzika (Resting Room)

Inatolewa na Fun retreat resort

Fun Retreat ina aina mbalimbali za malazi zinazokidhi mahitaji tofauti ya wageni. Kuna tents kwa wale wanaopendelea kukaa karibu na asili, executive rooms kwa wageni wanaotaka faraja ya hali ya juu, pamoja na vyumba vya familia vilivyobuniwa kwa ajili ya makundi au familia kubwa.

Sign In