Huduma za Malipo na Uhamisho wa Fedha
Inatolewa na National Benki of Commerce ( NBC )
NBC inaruhusu malipo ya huduma mbalimbali kama umeme, maji, ada za shule, na kodi ya serikali. Pia kuna huduma za kutuma na kupokea fedha ndani ya nchi au kimataifa kupitia Western Union, SWIFT, na njia nyingine.