Huduma kwa Njia ya Simu na Mtandaoni
Inatolewa na National Benki of Commerce ( NBC )
Wateja wanaweza kutumia NBC Mobile App au huduma ya USSD kufanya miamala, kulipa bili, kutuma pesa, na kuangalia salio. Pia kuna huduma ya NBC Online Banking kwa wateja binafsi na wa kibiashara kutumia kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na intaneti.