Huduma za NBC Wakala
Inatolewa na National Benki of Commerce ( NBC )
NBC inafanya kazi na mawakala waliopo maeneo ya mikoa na vijijini. Kupitia huduma hii, wateja wanaweza kuweka na kutoa pesa, kulipia huduma, kufungua akaunti, au kupata taarifa za akaunti bila kufika benki moja kwa moja.