Rating
Tags
Distance

Fun City Kigamboni
Fun City Kigamboni inapatikana eneo la Kigamboni, Dar es Salaam. Ni moja ya kumbi za starehe na burudani ambapo watu huenda kujumuika na kufurahi pamoja na familia zao au marafiki. Mahali hapa hutoa fursa ya kufanya shughuli mbalimbali za kujiburudis...

Fun retreat resort
Fun Retreat ni sehemu ya mapumziko na burudani iliyopo Moshono, Arusha. Eneo hili lina mandhari ya asili na mazingira tulivu, na hutembelewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kupumzika na kufanya shughuli za burudani. Kuna bwawa la kuogelea, sehemu za...

Bruno Games and Movies
Burno Games and Movies ipo kama kituo mabasi Mawasiliano, Dar es salam. Ni mahali ambapo wapenzi wa michezo ya video na filamu hukutana kwa ajili ya kujiburudisha, kujaribu michezo mipya, na kupata huduma mbalimbali zinazohusiana na burudani ya kisas...

Cheka tu live Comedy show
Cheka Tu ni onyesho la ucheshi linalofanyika moja kwa moja jukwaani (live stand-up comedy), likiwakutanisha wachekeshaji mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya Tanzania. Onyesho hili limekuwa likifanyika kila mwezi, na kila toleo huwa na mada tofauti in...

Havoc Nightspot
Havoc Nightspot ni ukumbi wa starehe uliopo Renaissance Plaza, Msasani Peninsula, jijini Dar es Salaam. Ukumbi huu uko katika eneo la juu lenye mwonekano mzuri wa bahari na mandhari ya jiji. Unatoa huduma ya vinywaji mbalimbali pamoja na muziki kutok...

Amuzz Bar And Car Wash
Amuzz Bar ni sehemu ya burudani iliyopo mjini Moshi, inayojulikana kwa mazingira yake tulivu na ya kuvutia, hasa kwa wakazi wa jiji na wageni. Ni mahali ambapo watu hukutana kwa ajili ya kupumzika, kuzungumza, na kufurahia muziki pamoja na vinywaji m...

Cocoriko Club
Cocoriko Club & Lounge ni ukumbi wa starehe uliopo katikati ya jiji la Arusha, ukijulikana kwa kutoa burudani y yenye mchanganyiko wa muziki na vinywaji . Ni mahali ambapo wageni kutoka ndani na nje ya nchi hukusanyika kufurahia maisha ya usiku ya A...

Celebrity Club
Celebrity Night Club ni moja kati ya maeneo maarufu ya burudani jijini Dar es Salaam, hasa kwa wapenzi wa maisha ya usiku. Iko Mikocheni, ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, katika Mkoa wa Dar es Salaam. Eneo halisi ni kwa Nyerere. Celeb...

Kitambaa Cheupe
Kitambaa Cheupe ni eneo la burudani linalopatikana katika maeneo ya Sinza, na Tabata jijini Dar es Salaam. Ni sehemu maarufu kwa wapenzi wa starehe, ikijulikana kwa kutoa huduma mbalimbali kulingana na aina ya wageni wanaohudhuria. sehemu hii huj...

Tips Mikocheni Club
Tips Lounge ni eneo lililopo Mikocheni, Dar es Salaam. Ni mahali ambapo watu hukutana kwa shughuli mbalimbali za kijamii na burudani. Mazingira ya eneo hili yanajumuisha muziki, vinywaji, chakula, na maonyesho ya moja kwa moja ya sanaa mbalimbali

The Next Door Masaki
The Next Door ni ukumbi wa kisasa uliopo Masaki, Dar es Salaam, katika barabara ya Haile Selassie. Ukumbi huu umejipambanua kama sehemu ya mikusanyiko ya kijamii na burudani, ukiwa umejengwa kwa mtazamo wa kuunganisha michezo, muziki na mapumziko kat...

Club Bilicanas
Club Bilicanas ni moja ya kumbi za burudani kongwe na zenye historia ndefu nchini Tanzania. inapatikana kwenye Mkwepu na Makunganya Street, katikati ya jiji la Dar es Salaam Ukumbi huu ni sehemu maarufu ya mikusanyiko ya usiku, ukihudumia wageni w...

The Great Park Tabata
The Great Park ni ukumbi wa burudani uliopo eneo la Tabata Barakuda, Dar es Salaam. Ni sehemu maarufu kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani, inayojulikana kwa kutoa huduma mbalimbali za starehe na mapumziko