Rating
Distance

SBC Tanzania (Pepsi)-Kinywaji Soda
SBC Tanzania Ltd ni kampuni inayosambaza vinywaji baridi vya chapa ya kimataifa ya PepsiCo nchini Tanzania. Wana jukumu kubwa katika kuhakikisha upatikanaji wa vinywaji vya soda na visivyo na kilevi kwa watumiaji kote nchini, kupitia uzalishaji, usam...

MeTL Group-Vinywaji Baridi vya MO
MeTL Group kupitia chapa yake ya MO hutoa aina mbalimbali za vinywaji baridi vilivyotengenezwa nchini Tanzania, vikilenga kukidhi ladha na mahitaji ya walaji wa rika zote. Vinywaji hivi hupatikana kwa urahisi katika maduka, supermarkets na kwenye usa...

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ni hospitali ya umma inayopatikana Dar es Salaam. Ni taasisi ya serikali inayotoa huduma za afya kwa wagonjwa wa kawaida na wa rufaa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

Saifee Hosipitali Tanzania
Saifee Hospital Tanzania ni kituo cha huduma za afya kilichopo Dar es Salaam. Hospitali hii inahudumia watu wa rika na jamii mbalimbali kwa kutoa huduma za matibabu ya magonjwa mbalimbali, vipimo vya uchunguzi na huduma za dharura.

Selian Lutheran Hospital
Selian Lutheran Hospital ni hospitali ya rufaa iliyopo mkoani Arusha, Tanzania. Hospitali hii inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) – Dayosisi ya Kaskazini Kati, na washirika wa maendeleo wa kimataifa. L...

Aga Khan Hospital
Aga Khan Hospital, Dar es Salaam ni mojawapo ya hospitali za kibinafsi za kiwango cha juu nchini Tanzania. Inamilikiwa na Aga Khan Health Services (AKHS), sehemu ya mtandao wa huduma za afya wa Aga Khan Development Network (AKDN), ambao unatoa huduma...

Haven Of Peace Academy-Chuo
Haven of Peace Academy ni shule ya kimataifa ya Kikristo yenye kujitolea kwa kina kuwafikia wanafunzi kupitia elimu inayozingatia kanuni za Biblia. Shule yetu inahudumia wanafunzi kutoka chekechea hadi shule ya upili jijini Dar es Salaam, Tanzania, k...

University of Dodoma (UDOM)
University of Dodoma ni chuo kikuu cha umma kilichopo Dodoma, kilianzishwa rasmi mwaka 2007 na kilianza kutoa kozi mwaka 2007 pia Kina vyuo (colleges) saba na shule maalum, ikijumuisha Sayansi, Uhandisi, Biashara & Sheria, Afya, Elimu, Jamii na TEHAM...

Shule ya Kimataifa ya FK
FK International Schools ni shule ya kimataifa iliyoko Dar es Salaam, ilianzishaji mwaka 1997 na kuanza kutoa mitaala ya Kiingereza ya Cambridge rasmi tangu 2013,Ina matawi mawili kampasi ya awali/msingi (Africana, Mbezi Beach) na kampasi ya sekondar...

Shule ya Kimataifa ya Braeburn Dar es Salaam
Braeburn Dar es Salaam International School (BDIS) ni shule ya kimataifa iliyoanzishwa mwaka 2015, yenye kampasi mbili jijini Dar es Salaam (Upanga kwa elimu ya msingi na Masaki/Mbezi Beach kwa sekondari), nafundisha wanafunzi kwa kutumia mitaala ya...