Rating
Distance
Radius around selected destination km

Mtandao wa Airtel Tanzania
Airtel Tanzania ilizinduliwa mnamo Oktoba 2001 na ni kampuni ya simu iliyo nchini Tanzania, yenye kutoa bidhaa na huduma nyingi katika sekta ya mawasiliano.

Mtandao Vodacom Tanzania
Vodacom ni Kampuni kubwa ya mtandao wa simu wa mawasiano nchini Tanzania.Vodacom ilianzishwa mwaka wa 1994 na kudi la Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kuroka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone linamiliki asilimia sitini na tano (65) za kampuni...

Mtandao Tigo/YAS
YAS ni kampuni ya mtandao wa huduma za simu awali ilijulikana kwa chapa ya Tigo. Chapa ya YAS imeziduliwa rasmi tarehe 26 Novemba 2024. Kampuni hiyo wakati inaingia nchini Tanzania miaka takribani 30 iliopita ilianza kwa jina la Mobitel kabla ya kui...
Vinavyoongoza
Makampuni Bora Yanayoongoza