Rating
Distance

Sada Makeup
Sada Makeup ni mtaalamu wa urembo (Professional Makeup Artist) anayetoa huduma za kupamba kwa ustadi wa hali ya juu kwa wanawake wa rika na hafla mbalimbali.

Lavie Makeup
Lavie inajikita kwenye huduma za makeup, mitindo ya nywele, utunzaji wa ngozi, pamoja na mafunzo ya urembo.

Makeup by Eddie
Makeup by Eddie ni duka na huduma ya kitaalamu inayojihusisha na kupamba watu kwa kutumia makeup ya hali ya juu, kwa ajili ya hafla mbalimbali.

MAC Cosmetics
MAC Cosmetics ni duka maarufu la vipodozi na urembo linalotambulika kimataifa kwa ubora wa bidhaa zake na utofauti wa rangi zinazokidhi mahitaji ya wateja wa kila aina ya ngozi

Cosmetics and Beauty Care
Cosmetics and Beauty Care ni wauzaji wa bidhaa za vipodozi na urembo kwa ajili ya wanawake na wanaume

Living Beauty Tz
Hii ni duka maalum linalojihusisha na uuzaji wa vifaa na bidhaa mbalimbali za urembo, likiwa limejikita kuhudumia wateja wanaohitaji bidhaa bora kwa ajili ya ngozi, nywele, uso na matumizi ya saluni.

Meraki The Brand
Meraki The Brand ni jina linalojulikana kwa ubunifu , ushonaji na utengenezaji wa mavazi ya wanawake na wanaume wa rika zote

Fashion Never
Fashion Never ni duka la mavazi linalojishughulisha na uuzaji wa nguo za kike za mitindo mbalimbali. Wanatoa aina mbalimbali za mavazi ambayo yanakidhi mahitaji ya wanawake wa rika na mitindo tofauti, ikiwemo mavazi ya kila siku, rasmi, na sherehe.

Fay Fashion Tz
Fay Fashion ni duka maarufu linalotoa mabegi na mikoba ya aina mbalimbali kwa wanawake na wanaume, wakubwa kwa wadogo